Search ico smartphoneCross ico smartphone
443x590

Hatima ya Vibwengo 2: Moyo wa Jabali

Peter Gotthardt

(0)

Lire maintenant

Pour profiter pleinement de l’expérience Youboox, téléchargez l’application

Téléchargez l'appli Youboox sur l'App storeTéléchargez l'appli Youboox sur Google Play
Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Mkwamba unataka kusaidia wakati wa mapigano dhidi ya maadai wa Vibwengo. Lakini Deizi hakufikiria kuwa ni mkubwa vya kutosha. Mkwamba haujakata tamaa. Pamoja na Mzaha, Kijana wa Zimwi aliinyemelea kambi ya adui. Walikuwa na mpango. Lakini wataweza kuendelea kujificha dhidi ya Makonde ya Chuma na majitu ya kutisha ya mfalme? Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo wa vitabu vinne vya "Hatima ya Vibwengo." Visome vitabu vyote katika mfululizo: Wanajeshi Shupavu Moyo wa Jabali Makaburi Yaliyosahaulika Filimbi ya Kichawi

Editeur

Saga Egmont International

Langue

Swahili

Pages

19

Taille

134 KB

Date de parution

27/08/2019

EAN

9788726254587

Catégories

Premières lectures, Jeunesse, Littérature, Contes et légendes

pixel