Search ico smartphoneCross ico smartphone
443x590

Hatima ya Vibwengo 1: Wanajeshi Shupavu

Peter Gotthardt

(0)

Lire maintenant

Pour profiter pleinement de l’expérience Youboox, téléchargez l’application

Téléchargez l'appli Youboox sur l'App storeTéléchargez l'appli Youboox sur Google Play
Adui mwenye nguvu aliwasili kwenye nchi ya Vibwengo. Alitaka kumfanya mtumwa kila mtu anayeishi pale. Ikiwa Vibwengo wataokoka, watahitaji vyote ujasiri na matumaini. Vibwengo walilikimbia jeshi la adui, na walilazimishwa kujificha msituni. Deizi akawa rafiki wa Kibwengo mdogo anayeitwa Humulus. Kwa pamoja, wakafanya ugunduzi ambao uliwawezesha Vibwengo kujibu mashambulizi dhidi ya adui. Je, watakuwa na nguvu ya kutosha? Hiki ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinne vya "Hatima ya Vibwengo." Visome vitabu vyote katika mfululizo: Wanajeshi Shupavu Moyo wa Jabali Makaburi Yaliyosahaulika Filimbi ya Kichawi

Editeur

Saga Egmont International

Langue

Swahili

Pages

19

Taille

111 KB

Date de parution

27/08/2019

EAN

9788726254594

Catégories

Premières lectures, Éveil, Jeunesse, Littérature

pixel